na wengine walikuwa na fani mbili....... footbal & zombeism ( robbery)Nilimsahau rafiki yangu Ezekiel Greyson "Jujuman" mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi. Hii list ya top 10 footballers inabidi iongezwe angalau ifikie 100, vinginevyo haitawatendea haki wachezaji wengi ambao walikuwa na viwango vya hali juu katika kusakata kandanda.
1.Kana Ka Nsungu
INAUMA...... INASIKITISHA....INAKUMBUSHA MBALI...........Top 10 yangu
1.Idd Pazi " Father "
2.Raphael Paul " RP "
3.Samli Ayub " Beki Mstaarabu "
4.Fikiri Magoso
5.Frank Kasanga " Bwalya "
6.Hamza Maneno
7.Method Mogella " Fundi "
8.Octavian Mrope
9.Juma Mgunda
10.Said Mwamba " Kizota "
11.Razaki Yusuf " Careca "
Nini kimetokea? wako wapi kama hao? au ni UBINAFISHAJI kmb:
1.RELI ya Morogoro ya akina Duncan Butinini,David Mihambo n.k
2.RTC Kigoma ya akina Hamza Maneno,Mavumbi Omar,Idd Cheche n.k
3.Pilsner ya Arusha " NDOVU " ya akina Muhidin Cheupe " Nylon"
4.Ushirika Moshi ya akina David Rodgers, Often Martin n.k.Ile ilikuwa Brazil chini ya Oscar Dan Koroso.
5.CDA ya Dodoma ya Kina Justin Simfukwe.
6.RTC ya kagera ya akina Cheche Kagile
7.Timu ya bodi ya PAMBA Mwanza ya akina Fumo,Kitwana Selemani,Beyatus Simba n.k
8.Mwadui ya akina Dan Muhoja,ile middle ya kiarabu
9.Sigara ya akina Shabani Anania,Selemani Mkati,Mwakatika,Hamisi Kondo n.k
10.Pilsner ya Dar ya akina James Washokera
Kwa kutaja wachache.
Timu hizi zilikuwa za mashirika , zilikuwa na viwanja , mahitaji muhimu ya lishe na malazi wakati wa kambi.Huwezi kuwa na timu isiyokuwa na kiwanja,hayo mazoezi ya kupiga mashuti utafanya wapi.
Maeneo ya wazi yaliyokuwa yanatumiwa na vijana wa mchangani kufanya mazoezi yameuzwa kwa wafanya biashara kwa kigezo cha uwekezaji....!!!!!
Katika mazingira haya huwezi kuzalisha products kama hizo nilizotaja hapo juu.WATU WANAMISULI WAMEJENGEKA KIMICHEZO.WANA ARI N.K
Tuanze kwa kujenga viwanja na kuzuia vilivyopo kuuzwa mfano NYAMAGANA.
MATAJIRI WAWEKEZE KWENYE SOKA KWA KUANZISHA AU KUNUNUA EXISTING CLUBS.SIO KUZING'ANG'A NIA YANGA NA SAIMBA.
PALE KUPATA OWNERSHIP NI VIGUMU.
TUPATE KUREJEA KWENYE RTC's,PILSNERS LIKE.
Nawasilisha
Tusiwasahau na waliokuwa wanatuwezesha kusikia bila kumsahau Charls hilali,Omari jongo
na Dominic Chilambo"RIP"
Wacha kabisa. Yaani orodha yako haina jina la Nicodemus Njohole - are you serious
11. Peter Tino
12. Ramadhani Mtemi
13. Kocha Mchezaji - Hassani Hafif
14. Ardolph Rishard
15. Leodgar Tenga
16. Jela Mtagwa
17. Mohammedi Kajole
18. Ahmed Amasha
Barcelona FC, Real Madrid na Arsenal- zote za Temeke!
Hawa Je!
1. Hamis Kinye
2. Athumani Juma Chama (Jogoo)
3. Juma Mkambi (Majeshi)
4. Charles Boniface Mkwasa
5. Joseph Fungo
6. George masatu
7. Steven Nemes
8. Makumbi Juma (Homa Ya jiji)
KAMA NDO HIVYO NA MIMI NIMO I played for
UZURI SUPER BOYS- MANZESE
LEVIS- ILALA ( DODOMA &KILWA STREET)
DAR STAR- ILALA
DAR STARLET- KARUME (haji manara, rashid mahadhi, mbaraka seleman, yahaya/juma kidugile,master, michael.....)
TIGER- MAGOMENI MAPIPA (LUPA,KIBAVU,PETER)
KISIWANI-MAGOMENI
SIMBA KIDS- JANGWANI
CDA-MBINGA(ZIWA NYASA MAENEO YA NKILI&NGUMBO)
BUTIMBA TTC (JOHN TAMBA,mwl. MNGOMO, ENZI, EMA KERARYO, PASCAL MAzigo, MBU)
.............!
NILIMKUTA MBINGA 2001 AKIWA COACH WA MBINGA UNITEDHawa ndio ninaowakumbuka mimi pamoja na timu zao:
PAMBA:
Madata Lubigisa, Paul Rwechungura, David Mwakalebela, Abdallah Bori, George Masatu, Rashid Abdallah, Hussein Marsha, Dan Mhoja, Juma Amir Pele wa Mwanza, Maonwa Mkami Ball Dancer, Msonga Rashid, Beya Simba, Ally Bushiri, Rajabu Msoma, Pascal Tungaraza, Fumo Felician, Kitwana Suleiman,Hamza Mponda,Rajabu Risasi John Makelele Zig Zag, Clement Kahabuka, Bitta John na Nteze John,
MILAMBO:
Peter Poka, Jobe Ayoub, Mussa Msangi, Mikidadi Jumanne, Ally Manyanya, John Paul, Quresh Ufunguo, Said John, Abbas Mchemba, Wastara Baribari.
USHIRIKA:
Often Martin, Moshi Kazimoto, David Rodgers, Kaunda Mwakitope, Nobi Eliuka, Julius Kalambo.
COSTAL UNION:
Said Makene, Said Kolongo, Douglas Muhani, Yassin Napil, Idrissa Ndugulu, Ally Maumba, Kassim Mwakijuki, Kassa Mussa, Omar Mwakuluzo, Juma Mgunda, Razak Yusuph Careca na Mohamed Mwameja.
RELI:
Abdalla Mkali, Mohamed M, James Charles, Fikiri Magoso, Ramadhan Kilambo, Mwanamtwa Kihwelo, na Duncan Butinini.
RED STAR:
Yassin Saleh, Abbas Kukka, Frank Kassanga Bwalya, Idd Nassoro Cheche, Abunu Issa, Rosta Nduguru, Stephen Chibichi, Faustine Bingwa, Mwimbage Omari, na Dillunga.
AFRICAN SPORTS:
Duncan Mwamba,Victor Mkanwa na Hamza Maneno
NILIMKUTA MBINGA 2001 AKIWA COACH WA MBINGA UNITED
nyota nyekundu timu iliyokuwa ikiongoza kwa red cards....!
Hawa ndio ninaowakumbuka mimi pamoja na timu zao:
COSTAL UNION:
Said Makene, Said Kolongo, Douglas Muhani, Yassin Napil, Idrissa Ndugulu, Ally Maumba, Kassim Mwakijuki, Kassa Mussa, Omar Mwakuluzo, Juma Mgunda, Razak Yusuph Careca na Mohamed Mwameja.
..kama hivyo sasa mbona umewasahau pioneers kama "the two brothers" Omar na saleh Zimbwe!!!? trupu la Tanga line bila hao jamaa, unakuwa hujaitendea haki historia ya soka!!.
Shukrani mkuu....Need Say more???