yaani habari za mashabiki unanikumbusha yule wa RELI YA MORO- YA MUNGU......!Naona katika majina yenu mmewasahau wakongwe Titus Bandawe na Bwana Mkubwa Yanga Omari na huku Nje kuna Shabiki Mkubwa Hamis Mduruma (RIP),Wakati huo Jumamosi mji mzima unahamia Mkwakwani...
MMh.. kwa hiyo walikuwa ni wachezaji bora kutokana na utamu wa majina yao katika masikio?Mohamed Kachumbari na Ibrahim Mbuzi sijawaona kwenye list. Majina yao yalikuwa yananifurahisha mno.
Kama Majimaji ni gofu, Zimanimoto itakuwa katika hali gani?saa hizi pale Majimaji ni gofu
Lato baada ya kutoka KMKM alihamia Majimaji ya Songea, na Innocent Haule alikuwa Small SimbaInocent Haule alikuwa Miembeni, na Rashid Lato sio Zito wa Navy kabla ya KMKM,
1.Athumani Mambosasa-If in doubt ask any Egypt's Mehalla el- Kubra 1970's fan.
2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.
3.Abdallah Kibadeni-Simply King.
4. Gibson Sembuli-Hot shoot Hamish.
5. Maulidi Dilunga-African 11 Captain.
6. Omary Mahadhi-Tanzania One(Original)
7. Zamoyoni Mogella-Golden Boy
8. Gobos-Pioneer
9. Omary Gumbo-Zilipendwa
10. Omary Hussaini-Keegan
KENETH MKAPA, for life...mimi top ten yangu!
1.Steven Nemesi
2.Keneth Mkapa
3.Willy mtendawema
4.Godwin aswile
5.Salumu kabunda "Ninja"
6. Issa Athumani
7.Sanifu lazaro "Tingisha"
8.Husein Masha
9.Edward chumila
10.Zamoyoni Mogela
11.Damiani kimti.
Wengine😀ua saidi,Twaha hamidu,Abubakari salumu "Sure boy"
-
- Halafu sasa ndipo anapokuja Sunday Manara, na Kassim Manara, ambao waliweza kuwa waTanzania wa kwanza kucheza Europe kwenye professional ball, baadaye Nico Njohole pia. Pia kuna walioenda Uarabuni kama kina Haidari Abeid, mdogo wake Khalid Abeid, na pia Mohamed Bakari Tall, Jumanne Masuminti, Aluu Ali na Yusuf Kaungu.
Tatizo la mpira wa Tanzania ni kwamba radio tanzania ndio ilikuwa inakuza majina ya wachezaji.Wengi wa mikoani ,tulitegemea masimulizi ya radio tu,huwezi kumwona mchezaji live!
Kwa hiyo tuliwaoverate wachezaji bila hata kuwaona na kulinganisha na wachezaji wengine bara la afrika au Ulaya.
Kuhusu Mohamed China kucheza Uingereza hii ni propaganda kubwa sana!Hata Mwameja alisemekana hivyo.Wahindi wafadhili waliyudanganya sana.
Wanaojua mpira ,ligi top class ni Spain,Italy.England,kidogo Germany na France.
Zingine ni uchwara tu,ila kama una toka nchi maskini ukicheza kama Denmark,Norway,Austria etc sio mbaya kupata pesa kidogo.
Kwa hiyo Kassim Manara kusheza Austria sio deal sana.Ndio maana tumeshindwa hata kucheza Africa Cup of Nations,ina maana wacheza wetu sio wazuri kama tunavyowasifia tangu miaka yote.
Mambosasa tutamjua tu wabongo,lakini ukiuliza Thomas Nkono ni afrika na dunia nzima wanaojua mpira!