Top Ten footballers Tanzania ever produced

Hadi sasa Tanzania iliwahi kuzalisha kipaji kimoja tu kwenye soka...Sunday Manara ..wakiobaki wote ni wahapahapa

Uliwahi kumsikia Mohammed Salim? Huyu aliunda combination na Peter Tino Y Stars miaka ya 80, baadaye akatimikia Abudhabi UAE. Nadhani alichukua na Urais kabisa maana hakuwahi kurudi tena.

Vv
 
Kama hiyo list yako imekosa kuwepo Edibily Lunyamila basi haina maana hata kidogo.
 
Uliwahi kumsikia Mohammed Salim? Huyu aliunda combination na Peter Tino Y Stars miaka ya 80, baadaye akatimikia Abudhabi UAE. Nadhani alichukua na Urais kabisa maana hakuwahi kurudi tena.

Vv

Ni Uraia nadhani
 
Naona pia umemsahau Ezekiel Grayson "Jujuman"
 
Juma mrisho nimekumbuka history wameenda kushiriki Gossage cup Uganda akapelekewa khabari mkewe kajifungua kutoa jina akatamka aitwe Gossage, ikawa Gossage mrisho sijui yupo wapi!
 
kassi mwajeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…