👉Joshua kimmichWatatu Tu ...malizia list
Huyo namba 5 dogo ana balaa sana.Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Kumbe Falcao alikua kiungo.Kila nabii na zama zake..
Hata kabla ya hao dunia iliwahi kuwa na utajiri wa viungo wa shoka na mafundi kama Zico, Paul Gascoine Gazza, Lotta Matheuss, Socrates, Falcao, nk
Okocha Jay JayKwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Najua umeuliza kwa kebehi, ila huyo Falcao unaemjua wewe amepewa jina kwa heshima ya huyu mwambaKumbe Falcao alikua kiungo.
Jude na pedri ni overrrated ni wachezaji wazuri ila sio wa kuingia top 10. Kwa kandanda linalopigwa na modric ni dhambi kumwacha top 10. List yangu niKwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Rodri umemuweka na bado umesema overrated? Partey je?Jude, rodri na pedri ni overrrated ni wachezaji wazuri ila sio wa kuingia top 10. Kwa kandanda linalopigwa na modric ni dhambi kumwacha top 10. List yangu ni
1.De bruyne,
2.casemiro,
3.modric,
4.kimmich,
5.zambo anguisa,
6.rodri,
7.tchoumeni,
8.goretzeka,
9.verrati
10. Oredegaard
Sikusoma vizuri post yako nilifikiri ni gavi. Partey bado hajagusa anga za wakina casemiro na tchoumeni ambao washafanya makubwa kwenye anga za kimataifaRodri umemuweka na bado umesema overrated? Partey je?
Sometimes Salah anaitwa striker sometimes winger...Musiala sio midfielder kwanza mtoe kwenye list ili tuendelee na mada au umeangalia live score ameandikwa midfielder na ww ukabeba hvyo hvyo.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Unalinganisha Mavi na Pilau sasa!Bila kuepo Aucho hiyo top 10 yenu ni yamchongo.
Kwa sasa ukiambiwa utaje top ten midfielders... unaweza weka Nani ukaacha Nani?..
1. Debruyne
2.Caisedo
3. Tchoumeni..
4. Jude Bellingham.
.5. Musiala..
6. casemiro
7.Ordegaard .
8. Rodri..
9.pedri
10. Bruno Guimares....
Weka yako tuone
Where is Ngolo Kante...Unamuweka namba ngapi?
Unamjua Nicolo Barela?