Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Top 3 wanaoteseka na kuumia zaidi kwa maana mda wote walikuwa wanaomba simba fc apoteze.
Umaarufu wao pia utashuka mtaani hadi Simba atakapotupwa nje ya mashindano ya Club bingwa Africa .
1. Shafii Dauda
2. Mashabiki wa Congo
3. Mashabiki wa Yanga.
Nb: Simba ni Dar na Dar ni Simba
Nb: Zahera hajawekwa kwasababu Zahera alijua mapema kwamba Simba fc inashinda na ndio maana aliitabiria Simba mapema. Alisema simba ana 60% kupenya CL na Vita wana 40% kupenya. Hii yote ilitokana na Simba kuwa imara na pia advantage ya nyumbani, na mwisho Zahera ni Yanga.