Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Zahera alijua mapema kwamba Simba fc inashinda na ndio maana aliitabiria Simba mapema. Alisema simba ana 60% kupenya CL na Vita wana 40% kupenya. Hii yote ilitokana na Simba kuwa imara na pia advantage ya nyumbani, na mwisho Zahera ni Yanga.
Ukichanganya na matokeo ya Iringa, ndio kabisaaaaaa!Ushindi wa Simba umewalaza watu fulani na viatu.
Mshika mawili yote humponyoka na Zahera ni chauroo. Alitaka ushindi huku na huku ila viongozi wanamkalia kikao.Ukichanganya na matokeo ya Iringa, ndio kabisaaaaaa!
Halafu cha kushangaza, waliweka nguvu kubwa ya KUZOMEA/KUSHANGILIA matokeo ya Dar kuliko hata huko Iringa ambayo ndiyo yaliyokuwa yanawahusu!
Mkuu usiseme 'hadi Simba atakapotolewa'Top 3 wanaoteseka na kuumia zaidi kwa maana mda wote walikuwa wanaomba simba fc apoteze.
Umaarufu wao pia utashuka mtaani hadi Simba atakapotupwa nje ya mashindano ya Club bingwa Africa .
1. Shafii Dauda
2. Mashabiki wa Congo
3. Mashabiki wa Yanga.
Nb: Simba ni Dar na Dar ni Simba
Nb: Zahera hajawekwa kwasababu Zahera alijua mapema kwamba Simba fc inashinda na ndio maana aliitabiria Simba mapema. Alisema simba ana 60% kupenya CL na Vita wana 40% kupenya. Hii yote ilitokana na Simba kuwa imara na pia advantage ya nyumbani, na mwisho Zahera ni Yanga.
Umaarufu wao utapanda tena hadi pale simba akitupwa nje ya mashindano, vinginevyo aibu yao.Mkuu usiseme 'hadi Simba atakapotolewa'
Je asipotolewa?
Kwani wengi si walijua atatolewa kwenye makundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shafii huwa haizungumzii Simba kwa mema, na hata katika safari hii ya mafanikio yy hajapenda. Ww unamtetea leo alizingatia nn kuwaita Simba fc underdog (mchekea)?. Mara kadhaa akinukuliwa kuipondea Simba, yy ilibidi aipe simba moyo na sio kuwadharau na kuona hawafiki popote.I dont understand,shafii ni mchambuzi wa soka,kwa kundi lile kweli pale mwanzo nani angesema simba anatoboa [emoji853][emoji853]
Ndo maana kna tweet flan nliona anasema.kundi limekua so complicated mpaka wa mwisho anaweza akawa wa kwanza anytime na akapita, means aliongelea simba posibility ya kupita,washabiki without using head,wanahisi jamaa anabif na simba,..
Soccer africa kipind nguli cha kuchambua soka by wisemen kundi lilipokua mwanzo waliona simba hatoboi,ila last episode Thursday nao baada ya kuona kundi lilivyo km shafii wakasema ana nafasi ya kupita,simba fans sijui why hawamuelewi shafii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo ndani mapemaaa, cha ajabu hawakuumia sana Iringa wamefika kuumia kwa mchina, hawa watu sijui wanadanganywa na nani?Weekend hii wewe kama ni Shabiki wa Yanga na Man U hakika ni weekend mbaya sana kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanahangaika zaidi ya Makusi? Ukiona anahangaika sana juwa kataga kwa Paramahengo.Huu ni usiku mbaya sana kwa Yanga huku upande wa pili ikiwa ni kama harusi kubwa ya kifalme [emoji4]
Waangalie vizuri wameumia na mapajani mwao mnadamuNdio mnaomba uzalendo nyie