Top three wanaoteseka na kuumia zaidi

Shafii hakumaanisha hivyo, toa tafsiri ya underdog!! Dauda aliizadharau na kuikebei Simba!
 
Tangu lini mtu mwenye akili timamu akaenda kujenga bondeni matopen kabisa tena kwenye njia ya maj..yan bwawan kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo la kuja mjini ukubwani..miaka ya nyuma kulikuwa hakuna mafuriko Jangwani..mpaka watu walivyoanza kujenga kiholela..uliza ujuzwe
 
Yeah simba alkua ni underdog kwenye lile kundi,whata wrong na kuitwa underdog?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira Wa kiafrica hamna underdog maana Hawa Al Ahly mabingwa wa kihistoria lakini ugenini wanafungwa...Kama wewe mpenzi wa mpira siku Barcelona kapangiwa na macabbi tel Aviv ya Israel uone kama Barcelona atajilinda ugenini afungwe chache halafu ategemee kushinda nyingi nyumbani!..

NB
Africa neno underdog sio sahihi kwani soka letu la mbinu mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…