Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
- Thread starter
-
- #41
Mchezaji aina ya Santiago carzola
Senna alikuwa chuma lakini hakuonekana na faida mpaka kilipokuja kizazi za modern defensive midfielder under Sergio busquetsCarzola alikua Fundi sanaaa hakabiki kirahisi. Ila majeraha tu.
Hivi unakumbuka villa real ile ya kina
Juan Roman Requelme na Marco Senna.
Sasa kama angekuwa hana kichwa angecheza mpira?Nilimpenda chamakh kama Wenger na mashabiki wa Arsenal walivyotutambia kipindi
wamemsajili. Ila sijui alipatwa na Nn huyu mtu yaani alikuja kua flop wa hali ya juu.
Anyway still naheshimu kipaji chake maana alipokua ufaransa aliprove he was good na pia kwenye kupiga vichwa alikua hakukosi.
Sweden toa Lindeloff weka Sebastian Larsson
Mchezaji aina ya Santiago carzola
Ni dhambi kubwa sana kwa mungu wa mpira hilo jina kuwekwa pembeni.
Kwa walioangalia UEFA ya 2003 anaitoa Barca ya Figo, then anaitoa Madrid ya Ronaldo de Lima wanaweza kukurushia mawe mpaka uzimie.
Huyu mchezaji wakati anacheza Malaga na kumuweka bench Fabregas national team nilikuwa siijui shughuli yake,nilimuona world cup dah huyu Carzola ni hatar,yaan mtu anayemkaba hajui atapigwa chenga na mguu gani,kona ikikaa upande huu anapiga na kulia ikiwa upande mwingine anapiga na kushoto na huoni tofauti sema tu injury zimemsumbua sn ila namkubali sn.
Yes Nedved ni moja ya wachezaji wachache waliowahi kupata standing ovation ya pale Santiago Bernabeu,alikuwa mtu hatari sana wakishirikiana na Alesandro del Piero pamoja na Fabio Canavaro pale Juventus.
Halafu anakua kama anacheka kila saa kama Ronaldhno Guacho. Kuna beki zimekula matobo sana pale Epl [emoji1787]
Jamaa alikuwa anajua, na shangilia yake ilikuwa inasababisha muda wote nione akifunga.
Wakati wanampiga Madrid 3 - 1 nilishangilia sana mpaka kidogo nilale nje.
Hatari mkuu,kuna vitu hawa malegend walikuwa navyo kwenye mpira wa sasa vimetoweka kabisa hadi unapocheki soka unawamiss aisee
Miaka ile Football ilikuwa watu wanalinda Brand ya Team, siku hizi wachezaji ni Brand, kwa hiyo wanalinda Brand zao zaidi kuliko team.
Kwa hiyo watu wanacheza kwa kuangalia personal interest kwanza, kama interest ni ndogo hata kujituma kunapungua.
Miaka ile Football ilikuwa watu wanalinda Brand ya Team, siku hizi wachezaji ni Brand, kwa hiyo wanalinda Brand zao zaidi kuliko team.
Kwa hiyo watu wanacheza kwa kuangalia personal interest kwanza, kama interest ni ndogo hata kujituma kunapungua.
Nalikumbuka lile goli .Czech republic kuna mtu alikuwa anacheza Juventus Turin anavaa namba 11
mshindi wa balon d'or 2003 alitakiwa awe wa kwanza hapo
Pavel Nedved anawapiga goli Madrid halafu analia nusu fainal uefa
Mguu wake wa kushoto una nguvu kama wa kulia mpaka anastaafu hajulikani anatumia mguu gani
Tanzania:
Mbwana Samatta
Zamoyoni Novella
Peter Tino
Nimemwona sana tu. Labda kama angetaka top 5 nadhani angekuwepo yeye na Edward Chumilamzee huja mwona Lunyamila wewe