Topic bora 2013 katika jukwaa la ujasiriamali

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,153
Reaction score
809
Mungu awabariki,
Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 18 January.

Karibuni.
 
Mkuu mbona umekazana sana na hii ishu? Mkuu mimi nazani ni bora watu tujikite kwenye kufanyia kazi kila mkinacho postiwa huku haya maswala sijui ya kushindanisha hayana tija, kushindanisha ili iweje? tukishindanisha ndo watu wabadili fikira zao na kuwa wajasirimali?

Hili jukwaa now day linazidi kupoteza mvuto kabisa that is why hata mimi sionekani kabisa huku tofauti na zamani, na kuna sababu ni kwa nini sionekani huku,
 
ni kwel kabisa mkuu huyu jamaa anakomaa sana na kwel hakuna tija na kushindana ni mtindo wa primary xcul hata sec wameacha tukue kifikra tuache mambo ya mwaka 47 ahsante kwa kunielewa mkuu take action and implement
 
Mkuu mbona umekazana sana na hii ishu? Mkuu mimi nazani ni bora watu tujikite kwenye kufanyia kazi kila mkinacho postiwa huku haya maswala sijui ya kushindanisha hayana tija, kushindanisha ili iweje? tukishindanisha ndo watu wabadili fikira zao na kuwa wajasirimali?

Hili jukwaa now day linazidi kupoteza mvuto kabisa that is why hata mimi sionekani kabisa huku tofauti na zamani, na kuna sababu ni kwa nini sionekani huku,
lengo ni kushawishi watu walete vitu vyenye ubora mwaka 2013. Kwa mfano unaikumbuka ile topic ya kubota ya zijue mbinu zangu za ufugaji wa kuku wa kienyeji? tunataka mabo kama hayo mkuu.
 
kwanza huu ni mwaka 2014 mkuu co 2013
 
Back
Top Bottom