zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Dondoo za Stand.
Haya Maneno muda huu nipo stand ya Kimara naenda posta Kuna wasichana 3 wanajadili.Sijui wenzagu mko group gani hapo du.
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.Dondoo za Stand.
Haya Maneno muda huu nipo stand ya Kimara naenda posta Kuna wasichana 3 wanajadili.Sijui wenzagu mko group gani hapo du.
WASHIRIKI. wale wote wenye vigezo tajwa juu kujua ukweli huo.
Jinsia Mi KIDUME CHA MBEGU WA MAPACHA WA 3
Ova
:biggrin1: hivi mtoa mda ni dume au jike mana topic zake humu
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.
Jiangalie sana...!
Nasikia eti ni shemale
Kama ni wasichana kwa nini nawe hukuangana nao uwaulize, mbona na wewe ni mschana au wewe ni Mmama ? Maana jina lako ni Zubeda.
Nikiangalia jina lako, avatar yako, topic zako unazozipenda....halafu unavyolazimisha kuwa wewe ni "kidume cha mbegu", napata mashaka makubwa sana.
Jiangalie sana...!
Nasikia eti ni shemale