Zinakuwa hazijamlenga mtu specifical ila ukiona kama kilichosemwa kina kugusa, ukubali ukweli na pa kujirekebisha jirekebishe, pa kuignore ignore.
Wakati mwingine ukweli ni mchungu, sema hauna budi kusemwa.
Hata sisi tungependa kujua nyie mnatufikiria vipi sisi ili kusudi itusaidie tunapokuwa na nyie.
Tracy,
Pole na poleni...kwa bahati mbaya wanaume wengi tunaendeleza tabia mbovu ya wanaume wa kiafrika "halisi". Mwanamke kuonekana ni tambara bovu, zulia.
Lakini jamii zinabadilika, usichoke kuelimisha. Hata kama itachukua muda, watu watabadilika.
Lakini pia kuna msemo unaoendana na uhuru wa mawazo na kusema mtu akitakacho...unasema hivi...ukifungua mlango, sio hewa nzuri tu pekee iingiayo, bali pia mbu na nzi.
kwa hiyo wengine hawapimi kuwa wamezaliwa na mwanamke au ana mke,dada au binti. wanafyatua tu.
thread yeyote ikiandikwa vizuri, kwa mpangilio wa maneno ya staha na hoja basi kila mtu atajisikia kuchangia bila kuhisi kudhalilishwa.
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka NTAMPATAJE BA MKWE WANGU??? Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes
wanawake bana....
duh!
mnapenda usawa halafu mnashindwa ku handle challenges
kaka,.katika kuchangia,je anasema akikipenda hicho kitu au?maana kuchangia sio tatizo..Nyi wenyewe ndo mko mstari wa mbele kuendeleza hizo mada! Acheni kuzichangia muone kama hazitadoda. Lakini kila ziwekwapo hapa lazima mshiriki kikamilifu kuzichangia. Sasa hamuoni kama na nyinyi mnaendeleza na kuendekeza huo udhalilishaji?
Jitazameni kwanza kabla hamjarusha lawama...
tunamsubiri rose1980 amalize chaji ndo tuanze kuchangia sredi.kaka usigune tu hapo.....
yani tracy awa bnadamu uwa wanaboa sana na matusi yao..
si poa ata kdg....sjui wanakuwa wanafkiria nini..yaan akipigwa kibut uko basi kesho anakuja na thread yake yenye mapembe makubwa lakin theme ni katika kumdhalilisha mwanamke....
sjui wana matatizo awa bnadamu..
Sio usawa tu, nadhani hata wangepata usawa wangeubomoa wenyewe. Kuna topic imeanzishwa na mtu anaejiita MwanaMtama, inasomeka NTAMPATAJE BA MKWE WANGU??? Ndo utagundua wanawake bado wanajidhalilisha wenyewe sometimes
Hv wanawake ni watakatifu sana? Mbona wanatupigaga na madongo sana na kutudhalilisha na tupo poa tu.
Na wewe rose unasema hivyo?
Tracy,
Pole na poleni...kwa bahati mbaya wanaume wengi tunaendeleza tabia mbovu ya wanaume wa kiafrika "halisi". Mwanamke kuonekana ni tambara bovu, zulia.
Lakini jamii zinabadilika, usichoke kuelimisha. Hata kama itachukua muda, watu watabadilika.
Lakini pia kuna msemo unaoendana na uhuru wa mawazo na kusema mtu akitakacho...unasema hivi...ukifungua mlango, sio hewa nzuri tu pekee iingiayo, bali pia mbu na nzi.
kwa hiyo wengine hawapimi kuwa wamezaliwa na mwanamke au ana mke,dada au binti. wanafyatua tu.
thread yeyote ikiandikwa vizuri, kwa mpangilio wa maneno ya staha na hoja basi kila mtu atajisikia kuchangia bila kuhisi kudhalilishwa.
tunamsubiri rose1980 amalize chaji ndo tuanze kuchangia sredi.
kaka,.katika kuchangia,je anasema akikipenda hicho kitu au?maana kuchangia sio tatizo..
Asante Rose mi kinanikera kweli and some cross the limits za ethics kabysa!yan tracy awa bnadamu uwa wanaboa sana na matusi yao..