Topic zipi zilikongo mioyo ya wajasiriamali 2013?

Topic zipi zilikongo mioyo ya wajasiriamali 2013?

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,153
Reaction score
809
Mungu awabariki,
Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 18 January.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom