E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,153 Reaction score 809 Jan 17, 2014 #1 Mungu awabariki, Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 18 January. Karibuni.
Mungu awabariki, Wakuu naomba tupendekeze topic 4 ambazo unafikiri ndizo zilizokuwa bora kwa mwaka 2013 kisha tutazishindanisha tupate tatu bora. Hii itawamotivate wajasiriamali. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 18 January. Karibuni.
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 215 Reaction score 79 Jan 17, 2014 #2 Ufugaji na kilimo vinalipa sana