Topological Map

Topological Map

isele

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Ningeomba kujua kama ni lazima kufanya/kupata topographical map kabla sijapata architectural drawings.Lengo ni kujenga nyumba za kawaida.
 
Ni muhimu sana kupata hiyo topo map sababu itamsaidia msanifu majengo kujua nyumba ikae vipi.. septic tank likae wapi... mindombinu ya maji na umeme ikae wapi....

Kifupi ni muhimu...
 
Asante Mkuu Blue Balaa.
Why bothering na demarcation, wakati mmiliki nishakuonyesha mipaka,
au sijakuelewa, Tafadhali eleza zaidi kwa lugha rahisi.
 
TOpo ama Contour map, kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu ni muhimu sana,
 
Demarcation ni Cadastral map.. ambayo unapimiwa mipaka na unapata hati kutoka wizara ya ardhi... Topo map ni mchor unaoonesha sura ya eneo husika..
 
Back
Top Bottom