I isele Member Joined Feb 15, 2012 Posts 18 Reaction score 2 Nov 6, 2012 #1 Ningeomba kujua kama ni lazima kufanya/kupata topographical map kabla sijapata architectural drawings.Lengo ni kujenga nyumba za kawaida.
Ningeomba kujua kama ni lazima kufanya/kupata topographical map kabla sijapata architectural drawings.Lengo ni kujenga nyumba za kawaida.
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Nov 6, 2012 #2 Ni muhimu sana kupata hiyo topo map sababu itamsaidia msanifu majengo kujua nyumba ikae vipi.. septic tank likae wapi... mindombinu ya maji na umeme ikae wapi.... Kifupi ni muhimu...
Ni muhimu sana kupata hiyo topo map sababu itamsaidia msanifu majengo kujua nyumba ikae vipi.. septic tank likae wapi... mindombinu ya maji na umeme ikae wapi.... Kifupi ni muhimu...
BLUE BALAA JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 1,222 Reaction score 776 Nov 7, 2012 #4 Very important kwa ajili ya demacation
I isele Member Joined Feb 15, 2012 Posts 18 Reaction score 2 Nov 8, 2012 Thread starter #5 Asante Mkuu Blue Balaa. Why bothering na demarcation, wakati mmiliki nishakuonyesha mipaka, au sijakuelewa, Tafadhali eleza zaidi kwa lugha rahisi.
Asante Mkuu Blue Balaa. Why bothering na demarcation, wakati mmiliki nishakuonyesha mipaka, au sijakuelewa, Tafadhali eleza zaidi kwa lugha rahisi.
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Nov 8, 2012 #6 TOpo ama Contour map, kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu ni muhimu sana,
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Nov 8, 2012 #7 Demarcation ni Cadastral map.. ambayo unapimiwa mipaka na unapata hati kutoka wizara ya ardhi... Topo map ni mchor unaoonesha sura ya eneo husika..
Demarcation ni Cadastral map.. ambayo unapimiwa mipaka na unapata hati kutoka wizara ya ardhi... Topo map ni mchor unaoonesha sura ya eneo husika..