Welcome home El Nino (26) and David Luiz (23)
Uamuzi sahihi kwa muda muafaka.
Another mercenary, leo anabusu beji na kusema anataka kumalizia career yake hapo kesho anaomba auzwe. Modern day football haina loyalty kama zamani.
Ila would be nice kama Liverpool watawafunga chelsea come sunday with Torres on the pitch heheheh!
Another mercenary, leo anabusu beji na kusema anataka kumalizia career yake hapo kesho anaomba auzwe. Modern day football haina loyalty kama zamani.
Ila would be nice kama Liverpool watawafunga chelsea come sunday with Torres on the pitch heheheh!
Wishful thinking!
Would be nice kama atapiga hat-trick dhidi ya Loserfools!:laugh:
Furaha za Torres zimemfanya invisible akutoe jela ha ha ha .
Mgonjwa kapata nafuu kidogo naona thread zinafunguliwa sasa ha ha ha.
Mmeenda kumnunua mgonjwa kwa milioni 50 kweli nyie mna hela ya kununua vikombe duuh.Signing ya Torres kwenu nafananisha na signing ya Aquilani liverpool kipindi kile.
kila la kheri wakuu na muendelee hivyo hivyo kutojua kwamba tatizo lenu halikuwa striker lol.
WENGER HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
Hata kama mtachukuwa mkocha wengne na wachezaji wengne lakn still ARSENAL IPO JUU yan mlishndwa kukaa juu lig kuu mnakuja kukurupuka kuvuta shuka wakat kumekucha polen Sana ila mbona kama nimeckia dilisha limefungwa leo na mmeshndwa kumchukuwa lakn still THE GUNNERS WAPO JUU NA UBINGWA WE2 MWAKA HUU
i dont think he is a traitor, money talks na nafikiri liverpool kumsajili andy is a big move kumbukeni aliondoka owen wakachukua vikombeFernando....what a traitor!
Mkuu umefikiria kwa kitumia kitu gani? I doubt kama ni brain.
Mazee nina ID kibao hapa! Natamani tucheze nanyi nione yule Gael Clinch atafanya nini kuzuia Chelsea
Tucheze mara ngapi unataka? lol labda uko mbeleni kwenye vikombe vingine kama tutakutana.
Torres hana uwezo wa kusumbua beki yangu.