Tory Lanez atupwa Jela Miaka 10 kwa Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

Tory Lanez atupwa Jela Miaka 10 kwa Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo Julai 2020, huko HollywoodHills

Japokuwa Tory Lanez alikana Mashtaka yote (kushambulia kwa kutumia bunduki, kubeba bunduki ambayo haijasajiliwa, na kutumia bunduki kwa uzembe mkubwa), Mahakama ilimtia hatiani kwa makosa yote Matatu

Siku ya tukio (Julai 2020) Megan Thee Stallion alimshutumu Lanez kwa kumpiga Risasi Mguuni baada ya kutoka nje ya gari walimokuwa wamepanda kufuatia Mabishano baina yao

..............





Tory Lanez sentenced to 10 years in prison for shooting of Megan Thee Stallion

Tory Lanez, the man convicted of shooting rapper Megan Thee Stallion in 2020, was sentenced on Tuesday to 10 years in prison, the Los Angeles County District Attorney’s office told CNN.

In December of last year, a Los Angeles jury found Lanez guilty of three charges related to the July 2020 shooting of fellow rapper Stallion in the Hollywood Hills, the Los Angeles County District Attorney told CNN at the time.

Lanez had pleaded not guilty to assault with a semiautomatic firearm, carrying a loaded unregistered firearm in a vehicle, and discharge of a firearm with gross negligence, according to prosecutors.

The jury convicted him on all three counts.

Stallion accused Lanez of shooting her in the foot after she exited a vehicle they had been riding in following an argument.

At a press conference following the sentencing on Tuesday, LA County District Attorney George Gascón explained how Lanez attempted to “silence” Stallion after she accused him of shooting her in 2020.

“Over the past three years, [Lanez] has engaged in a pattern of conduct that was intended to intimidate [Stallion], silence her and keep her from defending and bringing her truth out,” Gascón said.

“Despite the physical violence, verbal attacks and attempts at public humiliation, [Stallion] remained strong and shared the events of that fateful night with the jury and the world,” the district attorney continued.

Stallion’s position as a popular entertainer has “brought a spotlight on the important issue of violence against women,” Gascón added.

“There are many people in our community that endure acts of violence every day from people close to them and feel reluctant to come forward when this happens. I hope that [Stallion’s] bravery gives hope to those that feel helpless,” he said.

Gascón also read aloud a portion of a statement made by Stallion in court Monday.

“Every day I think of others across the world who are victims of violence and survive. It is truly the most powerless feeling, especially when you question whether the justice system can truly protect you. Fortunately, the district attorney’s office fought for me. I’m incredibly grateful to them and the jury for the attention to the evidence and siding with the truth. But if it can happen to me, imagine those who lack the resources and support systems to help them,” Stallion said, according to the district attorney


Source: CNN
 
#BURUDANI Mwanamziki Tory Lanez kutokea nchini Canada aliyetamba na ngoma kama ''Say It'' na ''Luv'', amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kukutwa na hatia katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Thee Stallion, tukio alilolitenda mwaka 2020.

Tory alimpiga risasi Megan mguuni baada ya mgogoro uliohusisha mapenzi kati yao wakiwa kwenye gari. Na sasa Tory anakwenda kutumikia kifungo cha miaka 10 jela.

#ToryLanez #MeganTheeStallion #EastAfricaTV

1691574042936.png
 
Sasa hapo hiyo risasi ingepigwa na Mzungu, dunia ingekua inatetema.
 
#BURUDANI Mwanamziki Tory Lanez kutokea nchini Canada aliyetamba na ngoma kama ''Say It'' na ''Luv'', amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kukutwa na hatia katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Thee Stallion, tukio alilolitenda mwaka 2020.

Tory alimpiga risasi Megan mguuni baada ya mgogoro uliohusisha mapenzi kati yao wakiwa kwenye gari. Na sasa Tory anakwenda kutumikia kifungo cha miaka 10 jela.

#ToryLanez #MeganTheeStallion #EastAfricaTV

View attachment 2712539
Na hawa wanawake ni stupid, sasa hilo jitu na mikufu yote shingoni, huoni kuwa ni jambazi....
 
[emoji445]Cause you know I got somebody
So I can't fvck with jus anybody
But sometimes I get lonely, get lonely
So let me keep it real with you, real with you
Can't keep it real with me, real with me
Even I get lonely, get lonely[emoji445]

Pole zake.
 
[emoji445]Cause you know I got somebody
So I can't fvck with jus anybody
But sometimes I get lonely, get lonely
So let me keep it real with you, real with you
Can't keep it real with me, real with me
Even I get lonely,get lonely[emoji445]

Pole zake.
Unampa pole ya nini akafie jela huko visengé sana hivi vitoto
 
Akikata rufaa mwake, kwani hakuna possibility ya parole for good behaviour
 
Back
Top Bottom