Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000, imetumika mwezi mmoja na nusu tu hivyo bado ni mpya kabisa
Ukiinunua ni kama tu umenunua dukani mana bado ni mpya
Bei ni Tshs 85,000
Napatikana Mbezi jirani kabisa na stand ya mabasi ya Magufuli Terminal
Mawasaliano: 0719742225