ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 235 Jan 7, 2009 #1 ma keyboard has stoped working, what may be the problem? not all keys, but atleast 8
Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Jan 7, 2009 #2 kuna duka linaitwa capricon lipo karibu na dtv wanauza keyboard za laptop kuanzia alfu 15 tu unapata mpya kwa matumizi yako , sikushauri utengeneze au kutafuta mbinu za kutengeneza itakuwa gharama zaidi na muda zaidi utaenda
kuna duka linaitwa capricon lipo karibu na dtv wanauza keyboard za laptop kuanzia alfu 15 tu unapata mpya kwa matumizi yako , sikushauri utengeneze au kutafuta mbinu za kutengeneza itakuwa gharama zaidi na muda zaidi utaenda