Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,789
Kuna jamaa wapo Mwenge opp msikitini wanauza laptop accessories na spare parts
Unaweza kunipa contact namba zao nikawatafuta.
Hata ukipita hiyo mitaa ndo itakuwa mwanzo wa kuwa tafuta. Namba zao sina mkuu