Computer4Sale Toshiba Satellite C650 inauzwa 290,000 tu

Retailer

Member
Joined
Jan 18, 2020
Posts
94
Reaction score
119
Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650

Ram : 3gb

Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz

Window 10

Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000)

Mahali : Kigamboni

Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya kifedha

Uimara wa laptop: Laptop iko imara sana, battery tu ndio inahitaji kubadilishwa lakini si lazima.

Mawasiliano: 0745468832.

IMG_20201206_162108_109.jpg
IMG_20201206_162141_012.jpg
IMG_20201206_162156_123.jpg
 
Attachments

  • IMG_20201206_161309_575.jpg
    IMG_20201206_161309_575.jpg
    161.6 KB · Views: 4
  • IMG_20201206_162050_377.jpg
    IMG_20201206_162050_377.jpg
    219.5 KB · Views: 3
Bado kuna watu wanatumia duo core?? Anyway tupo core i7 sasa hivi.
Ni sawa na mtu aende kununua iphone 2, wakati watu wapo iphone 12
 
"watu wapo iPhone 12" Wangapi? . Mkuu umeona tecno na infinix zilivyojaa mtaani?

Watu hawafanani vipato. Hii inafaa kwa mtu mwenye kipato Cha chini.
 
Ngoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa.
"Ni sawa na sasa hivi mtu aende kununua TV ya chogo wakati watu tupo kwenye Flat Tv UHD" au unataka mfano wa Tecno?
"Ni sawa na mtu sasa hivi aende kununua TECNO boom j7"
Nna mifano mingi sana mdogo wangu
 
Usiende mbali mimi nimenunua Tecno N2 lakini najua kwamba kuna Spark 5 na naitaka sana hiyo Spark 5 na hii N2 naitumia basi sina altrnative

Nafikiri umejua mzizi ni nini
 
Ngoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa.
"Ni sawa na sasa hivi mtu aende kununua TV ya chogo wakati watu tupo kwenye Flat Tv UHD" au unataka mfano wa Tecno?
"Ni sawa na mtu sasa hivi aende kununua TECNO boom j7"
Nna mifano mingi sana mdogo wangu
Pia kuna mwanangu kanunua Tecno C8 mimi juzijuzi nilinunua Galax s6 tena ya zamani

Natunajua saña ma Hingend flagship
 
Bei ni 250,000.

Matatizo yanaongezeka kila kukicha
 
Back
Top Bottom