hahahahahahahahahaahahahah
"watu wapo iPhone 12" Wangapi? . Mkuu umeona tecno na infinix zilivyojaa mtaani?Bado kuna watu wanatumia duo core?? Anyway tupo core i7 sasa hivi.
Ni sawa na mtu aende kununua iphone 2, wakati watu wapo iphone 12
Ngoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa."watu wapo iPhone 12" Wangapi? . Mkuu umeona tecno na infinix zilivyojaa mtaani?
Watu hawafanani vipato. Hii inafaa kwa mtu mwenye kipato Cha chini.
Ngoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa.
"Ni sawa na sasa hivi mtu aende kununua TV ya chogo wakati watu tupo kwenye Flat Tv UHD" au unataka mfano wa Tecno?
"Ni sawa na mtu sasa hivi aende kununua TECNO boom j7"
Nna mifano mingi sana mdogo wangu
Usiende mbali mimi nimenunua Tecno N2 lakini najua kwamba kuna Spark 5 na naitaka sana hiyo Spark 5 na hii N2 naitumia basi sina altrnativeNgoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa.
"Ni sawa na sasa hivi mtu aende kununua TV ya chogo wakati watu tupo kwenye Flat Tv UHD" au unataka mfano wa Tecno?
"Ni sawa na mtu sasa hivi aende kununua TECNO boom j7"
Nna mifano mingi sana mdogo wangu
Pia kuna mwanangu kanunua Tecno C8 mimi juzijuzi nilinunua Galax s6 tena ya zamaniNgoja nikubadilishie mfano maana naona ni mgumu kuelewa.
"Ni sawa na sasa hivi mtu aende kununua TV ya chogo wakati watu tupo kwenye Flat Tv UHD" au unataka mfano wa Tecno?
"Ni sawa na mtu sasa hivi aende kununua TECNO boom j7"
Nna mifano mingi sana mdogo wangu
Una account ngapi humu? Njoo na uliyopost tangazoPia kuna mwanangu kanunua Tecno C8 mimi juzijuzi nilinunua Galax s6 tena ya zamani
Natunajua saña ma Hingend flagship
hahahhahahahahahahahahaahahahah
Kumbe kichwani kamasi usiku mwemaUna account ngapi humu? Njoo na uliyopost tangazo
Kuna mtu amekuambia ana 160 hapo juu, hujamuona?Bado ipo