U re first stop shouls be
toshiba website.nenda kwenye sehemu nadhani ya
support and dowload.
But cha muhimu huwezi kutafuta madereva ambao hujui wataendesa gari gani. La sivyo utapata dereva asiyefaa. So u must know the
hardware model of the driver u re searching ambazo hujataja.
Kwenye computer management Nenda kwenye
device Manager kacheki Sound hardware yako ni ya aina gani eg
Realtek AC97 audio. Kwa hiyo itabidi utafute driver yenye specs hizi
kitu kingine hakuna kitu kinaitwa driver za internet labda kama ulimaanisha driver za
Network. Pia hizi inabidi ujue Hardware model ya
Network Adaptaer zilizoo kwenye laptop
- eg harware model ya wireless card inaweza kuwa Atheros AR500.So utatafuta driver zenye jina hili
- eg harware model ya NIC inaweza kuwa Realtek RT8139.
Ukijua hardware model ni rahisi kuwapata madereva sahihi.
Mfano hiii ni link ya
official tshiba wesbite unayoweza kupata driver za model ya M30
http://www.csd.toshiba.com/cgi-bin/tais/support/jsp/home.jsp.
Nashangaa hiyo j32 haipo. Soma vizuri model yako au cheki kama model ya hardwarezinaendana na mashine yako. kama model za hardware zinaendana unaweza kudowload.
Good luck