Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa kuachwa kabisa.