TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

Hilo unalolisema lingehusu serikali ya wananchi wa Tanzania, hii ni serikali ya CCM ndiyo sababu hatutumii bajeti ya bunge tunatumia pesa za Rais Samia, subiri tutakapoanza kutumia katiba uchumi ukitengemaa.
Unachokisema ni sawa na kusema "RAIS SAMIA NI MWENYEKITI WA CCM, ASIENDE SHUGHULI ZA KISERIKALI, NI MATUMIZI MABAYA". umakosa logic kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…