Total Dominance of Young Africans 2023/2024 Season

Total Dominance of Young Africans 2023/2024 Season

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐—Ÿ๐—ถ๐—ด๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ

โ—‰ Champions - Yanga SC ๐Ÿ†
โ—‰ Timu yenye kadi chache - Yanga SC
โ—‰ Timu yenye on target nyingi - Yanga.
โ—‰ Timu yenye mchezaji bora wa mwezi mara nyingi - Yanga (Stephane Aziz Ki ร—4)
โ—‰ Hat-trick nyingi - Aziz Ki (ร—2)
โ—‰ Timu iliyoshinda mechi zote za nyumbani bila sare wala kupoteza - Yanga.

23|24 ๐—š๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐—ก๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ 22|23
__________________________________

80 ........... Points ligi kuu .............. 78
71 ........ Magoli ya kufunga ........ 61
14 ....... Magoli ya kufungwa ........ 18
26 .............. Kushinda ................. 25
2 ............. Sare | Suluhu .................. 3
2 ................ Kupoteza ................... 2
3 ......... Kocha bora wa mwezi ....... 2

Timu iliyoshinda kwa magoli mengi katika mechi nyingi tofauti - Yanga.

โ—‰ Yanga 5 - 0 KMC.
โ—‰ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania.
โ—‰ Yanga 5 - 1 Simba - (A)
โ—‰ Yanga 5 - 0 Ihefu.
โ—‰ Yanga 4 - 1 Mtibwa sugar.
โ—‰ Yanga 4 - 0 Dodoma Jiji.

... etc

Timu zilizopiga pasi nyingi :

โ—‰ 10,830 - Young Africans.
โ—Ž 10,084 - Azam FC.
โ—Ž 9,897 - Simba SC.
โ—Ž 91,24 - KMC

Magoli mengi ya free kick :

โ—‰ 4 - Stephane Aziz Ki.
โ—Ž 2 - Saido Ntibazonkiza.
โ—Ž 2 - Marouf Tchakei.
โ—Ž 2 - Edwin Balua.

Magoli mengi nje ya box :

โ—‰ 6 - Stephane Aziz Ki.
โ—‰ 3 - Marouf Tchakei.
โ—Ž 3 - Nicolas Gyan.

Vinara wa magoli :

โ—‰ 21 - Stephane Aziz Ki - (27)
โ—Ž 19 - Feisal Salum - (30)
โ—Ž 12 - Waziri Junior - (29)
โ—Ž 11 - Saido Ntibazonkiza - (26)
โ—Ž 11 - Maxi Nzengeli - (29)

Vinara wa Assists :

โ—‰ 9 - Kipre Junior.
โ—Ž 8 - Stephane Aziz ki.
โ—Ž 7 - Clement Mzize.
โ—Ž 7 - Feisal Salum.
โ—Ž 7 - Yao Kouassi
โ—Ž 7 - Pascal Msindo.

Vinara wa cleansheets :

โ—‰ 15 - Ley Matampi.
โ—Ž 14 - Djigui Diarra.
โ—Ž 10 - Deusdedith
โ—Ž 10 - Jonathan Nahimana.
โ—Ž 10 - Ayoub Lakred.

Timu zenye points nyingi :

โ—‰ 80 - Young Africans SC
โ—Ž 69 - Azam FC.
โ—Ž 69 - Simba SC.

Timu zenye magoli mengi :

โ—‰ 71 - Young Africans SC
โ—Ž 63 - Azam FC.
โ—Ž 59 - Simba SC.

Timu zilizoruhusu magoli machache :

โ—‰ 14 - Young Africans SC.
โ—Ž 19 - Coastal Union..
โ—Ž 21 - Azam FC.
โ—Ž 25 - Simba SC.

Goals deference nzuri :

โ—‰ 57 - Young Africans SC.
โ—Ž 42 - Azam FC.
โ—Ž 34 - Simba SC.

Timu zilizopoteza mechi chache :

โ—‰ 2 - Young Africans SC.
โ—Ž 3 - Azam FC.
โ—Ž 3 - Somba SC.

Timu zenye sare | suluhu chache :

โ—‰ 2 - Young Africans SC.
โ—Ž 6 - Azam FC.
โ—Ž 6 - Simba SC.

Timu zilizoshinda mechi nyingi :

โ—‰ 26 - Young Africans SC
โ—Ž 21 - Azam FC.
โ—Ž 21 - Simba SC.

๐—–๐—ฅ๐——๐—• ๐—™๐—ฒ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—–๐˜‚๐—ฝ (๐—™๐—”)

โ—‰ Champions - Yanga SC - ๐Ÿ†
โ—‰ Top scorer - Clement Mzize โšฝ
โ—‰ Mchezaji bora wa fainali - Bacca.
โ—‰ 5 - Cleansheets nyingi - Yanga SC.

Total dominance ๐Ÿ™Œ

Tom Cruz facts ๐Ÿง 
 
Back
Top Bottom