Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mna timu kabambe , kuanzia kocha hadi wachezaji na mnacheza ligi ya mabingwa , kama haitoshi mmemtandika mbabe Real Madrid kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto , bao 3-1 , mnafungwaje na timu iliyochoka kuanzia kocha , wachezaji na mashabiki ?
Hii kwangu naihesabu kama hujuma dhidi ya Timu yenu , sijui kisa ni nini ? Siku zote timu nzuri ndio hushinda game , mnafungwaje na wachovu tena wenye mgogoro na wachezaji wao ambao wamegoma kusaini kutokana na ubovu wa Timu ya Arsenal , kwa hofu ya kuzika viwango vyao ?