Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Arsenal haistahili kuifunga TotenhamTimu bora siku zote ndio hushinda na uzuri soka linapigwa uwanjani kila mtu akiona na sio chumbani.
Mbona wao hawakufunga ya off side ?Arsenal siyo mbovu kivile, kumbuka mancity alishinda 3-1, magoli mawili yakiwa off side
Ibasikitisha sana ! Dunia haitendi haki kabisa .Tottenham kwa Arsenal ni kama boflo kwa chai ya moto
Hyo haihalalishi magoli ya off sideMbona wao hawakufunga ya off side ?
Mna timu kabambe , kuanzia kocha hadi wachezaji na mnacheza ligi ya mabingwa , kama haitoshi mmemtandika mbabe Real Madrid kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto , bao 3-1 , mnafungwaje na timu iliyochoka kuanzia kocha , wachezaji na mashabiki ?
Hii kwangu naihesabu kama hujuma dhidi ya Timu yenu , sijui kisa ni nini ? Siku zote timu nzuri ndio hushinda game , mnafungwaje na wachovu tena wenye mgogoro na wachezaji wao ambao wamegoma kusaini kutokana na ubovu wa Timu ya Arsenal , kwa hofu ya kuzika viwango vyao ?
Huwezi sema hivyo wakati wameweka magoli uwanjani na ni mawili kwahiyo kwenye soka kila timu inafungwa na historia siku zote inambeba Arsenal so sio jambo la kushangaza.Arsenal haistahili kuifunga Totenham
PovuMna timu kabambe , kuanzia kocha hadi wachezaji na mnacheza ligi ya mabingwa , kama haitoshi mmemtandika mbabe Real Madrid kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto , bao 3-1 , mnafungwaje na timu iliyochoka kuanzia kocha , wachezaji na mashabiki ?
Hii kwangu naihesabu kama hujuma dhidi ya Timu yenu , sijui kisa ni nini ? Siku zote timu nzuri ndio hushinda game , mnafungwaje na wachovu tena wenye mgogoro na wachezaji wao ambao wamegoma kusaini kutokana na ubovu wa Timu ya Arsenal , kwa hofu ya kuzika viwango vyao ?
Ndio maana nashangaa inakuwaje ?Huijui Arsenal vizuri wewe.......... Spurs hana record yoyote kuishinda Arsenal katika ulimwengu wa soka.