Toto Africa kujifanya watoto wa Yanga kunaigharimu

Toto la yanga linashuka daraja na linapigwa pigwa kila kona raha kweli mpango mzima mbao na alliance mwanza hatutaki Toto hili
 
Wengine waliitwa African Sport wa kule Tanga walijenga ushoga na Vyura fc sasa HIV wanacheza mchezo wa mdako kule kwao,, hata hawa Acha washuke tu.
 
Mechi ijayo mnao wale! Tutaona kama mtachomoka...
Mkuu umepata matokeo ya Simba S.C [Taifa Kubwa] Vs Totoooo?
Leo Mashabiki wa Simba walikuwa wanacheki gemu utafikiri walikuwa wana lamba ndimu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni ndiyo.. Mechi ulicheki ukiwa unalamba tunda gani? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu umepata matokeo ya Simba S.C [Taifa Kubwa] Vs Totoooo?

Kama ni ndiyo.. Mechi ulicheki ukiwa unalamba tunda gani? [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Labda Alikuwa Akiitazama Mechi Akiwa Kanywa Viroba....
Huyu Toto marahii Tutahakikisha Anamfuata Mwenzake African Sports Toto la zamani la Chaneta FC kule liliko Kwenye Mashamba ya Mkonge..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…