kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Bado Ruvu Shooting ndio wamechukua nafasi ya Toto Africans chini ya Mkwasa.Yaani nilifurahi mno hao kenge waliposhuka daraja, na ninaombea wafie huko huko kabisa. Shwaini zao!
Wengine ambao walinusurika ni Kagera Sugar,ile Pamba FC almanusra iwafunge jiwe shingoni kisha ikawazamishe kwenye Ziwa Victoria. Hao 'senene' nao walikuwa na mambo ya kijinga sana;kuikamia sana Simba ila wakikutana na Yanga wanagawa point. Ila tangia wanusurike mbele ya Pamba FC akili zimeshawakaa sawa.
Sisemi kwamba timu ziwe zinagawa points bwerere kwa Simba SC. Big NO! ninachomaanisha hapa ni kuwa kama zitamkazia Simba basi na Yanga ziwe zinamkazia hivyo hivyo.
Najua hilo uliloandika hata sio dhumuni la Uzi wako..
Dhumuni lako ni kuichamba ni kwa namna gani ilikuwa inawaburuza sana nyie Mikia hali ya kuwa wateni zenu Yanga walikuwa wakijipigia tu..
Hii timu Mara ya mwsho kushiriki VPL nahisi ni 2016/2017..
Karibu tena Toto Africa uje uendelee kumkojolea huyu Mikia.. Kesho pia anakojolewa Kule Zimbabwe na wanaume
Hii Ndio iliwapata uto wachezajihiyoo timu na Singida United baba mmoja Mama mmoja
zinatakiwa zijifie zisirudi tena kwenye ulimwengu wa soka la ushindani
Wanadai ile ramani yao ya afrika inawaruhusu kubadilisha wanaume toka nchi moja hadi nyingineDuh pole sana!
Maana safari hii utaita wanaume wa kila aina.Mlianza na plateau ila mkapata aibu kuwasindikiza airport.Sasa wanaume zenu wengine platinum!
Kweli mwanamke asiyejitambua akikosa mwelekeo,anakuwa kahaba tu.Kila mwanaume atakuwa wake