kunani hii pc yangu haifungui hiyo:embarrassed: picha..
Ngoja nisubiri wengine.
Mbona aifunguki??wekatena
mmmh....wakwetu....dada kanenepa huyo......halafu keshachakachua ngozi....hilo chimbo alilokuwepo....c la kitoto
mmmh....wakwetu....dada kanenepa huyo......halafu keshachakachua ngozi....hilo chimbo alilokuwepo....c la kitoto
Mwambie nilikuwa na mwambia Kk anitoe akawa anachabo!!!Preta nini kinaendelea kwenye miguu ya avator yako? Nimeipenda hiyo comment yako...sio kila sehemu wanataka English figures, lol
Kimya kingi kina mshindo...video kwa udhamini wa.....
YouTube - "SHUKRANI"-NAKAAYA
She seems to be very white and nenepa sana au macho yangu??
NB:She is already taken.
nice song nakaaya...umenenepa umependeza!
Kanenepa na kaota na kitambi...! CCM utawajua tu...!
Mhafidhina, hicho kitambi chako cha kheri kweli? ila siyo siri nakaaya kapendeza mtu wangu[/QU
nimeona hata MS na JEYKEY nao pia wameaanza kuota vitambi baada ya kuwa mawakala wa chama haramu