Toto la KDF hili

Nimegundua kuwa waTz wengi huhisi kuwa ukiwa mweupe basi wewe nimrembo. No wonder wanawalazimisha dada zao kujichibua nguzi kwa kutumia kemikali. Wada wengi wana ndevu. Hii ni hujuma.
 
Hakuna mademu Kenya..mimi naishi Kisumu....sijaona demu Wa maana....nimejikuta ninagonga Wa TZ ,Rwanda au Uganda...ndiyo wana ladha....hakuna hata chura Wa maana Kenya
Kama umeng'okang'oka uso dont start blaming kenyan girls juu ya ukatili wako!!...if no pretty girl/s look your way in kenya dont start saying ooooh hakuna warembo kenya

3/4 of kenya is occupied by cushites

Toka Marsabit mpaka Mombasa ni cushites pekee

Cushites ni wasomali warendile wa Garba waOromo waBorana etc .....there are 6mn somali kenyans ... hatujaingia ukikuyuni mahala kuna warembo kupindukia ..... Hatujaingia coast ...so convince yourself with whatever but dont blame kenyan girls for finding your sorry ass ugly
 
Nimegundua kuwa waTz wengi huhisi kuwa ukiwa mweupe basi wewe nimrembo. No wonder wanawalazimisha dada zao kujichibua nguzi kwa kutumia kemikali. Wada wengi wana ndevu. Hii ni hujuma.
Sindio bongo movies zao watu wamejibleach Kupindukia SMH
 
Kwa nchi kama kenya hao niwazuri lakini kwa tz Hamna kitu hapo hata umiss sumbawanga hawaupati
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama wanafunzi wa shule za seminary
 
I love those kinds of festivals (especially kama uko na high liquidity) mmmh mh,

 
Kumbekupiga waume zao ni hekima kweli ukistaajabu ya musa .....

Si afadhali kuliko kumla binadamu mwenzio(Albino)...Acha wee...usinianzie...Mimi sii Al****
 
We are all beautiful....kila binadamu ni mzuri maana aliumbwa kwa image ya Mungu,kile kinachomwaribia ni tabia mbaya na kukosa utu,so kama uko tabia nzuri(usafi,ukarimu)moyo safi na nia njema basi wewe ni mzuri tu after all hujafa hujaumbika msiponde kazi za Mungu maana we ukiambiwa uumbe kiumbe chako hutaweza ,tusimkosee Mungu wapendwa!!
 
sasa mwenyewe unaona umesema kitu cha maana hivyo!!?????
wewe ni aibu kwa jamii yenu,
 
Ila kuna masharti ya behaviour ukiwa umevaa vazi la kiaskari. Sijajua kama amezingatia hilo katika picha hizi. Ngoja tuwaachie wenyewe.
 
Hakuna mademu Kenya..mimi naishi Kisumu....sijaona demu Wa maana....nimejikuta ninagonga Wa TZ ,Rwanda au Uganda...ndiyo wana ladha....hakuna hata chura Wa maana Kenya

Husituongezee UKIMWI Kenya!....lilokupeleka Kenya ni ngono tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…