Toto la KDF hili

MK254 yaani kutafuta kote huko ndio unatuletea TUTUSA hapa kweli vipofu wengi
 
Huyu kati ya mama yake au baba yake mmoja ni Mtanzania, hasahasa mama yake, Kenya hakuna breed pure za hivyo, wanawake wengi wa Kenya wanachukua sura za baba zao.
ha ha ha dah......noma sana
 
 
Amen
 
Nyie ni hadithi za vijiweni tu.Danganyika hamna warembo acha kutudanganya.Wote tu ni mama pima.Afadhali ungeniambia kwa Kagame kule ningekubali.....
Kwa kagame kuna warembo gani sura zao zinafanana hivyo akuna urembo
 
Tanzania ni kutafta visifa tu, Kenya ndio makaazi!!! Muone hapa habida na wahu, Kenya Kila mwaka kwenye jukwaa la Urembo duniani hatukosi namba 6 kwenda moja, noma sana Kenya kwenye urembo aisee
 
Sura yake imekaa kama mtanzania vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…