Totoz za supermarket

Mjini kuna mambo mengi sana...
Sijawahi kuwaza kuna mambo hayo....

Endeleeni kutujuza
 
sasa ni sura ngumu tu.....
sasa hivi hakitoki kitu kwa wababa!,washatumbuliwa imebaki makovu
 
We achana na wa supermarket huku uswahilini wapo watoto wakali hatari. Yupo mmoja hapa mtaani kwangu ye anauza maandazi ila kisu hatari alinitega siku moja alikuja na kanga halafu kaloana na mvua. Ilikuwa shighuli aisee
 
Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
Kazi za watu hizo mkuu....hawapigi hela ndefu kwa mtu mmoja siku hizi....wanachofanya ni kuomba kati ya elfu 5 hadi 10. Ana compose msg 1 kisha anarusha kwa mitego yake 20, hapo hakosi laki. Wamesajili line maalum kwa kazi hiyo ya kupokea pesa....ukimpigia hapokei mkuu.
 
Umenikumbusha mkuu huko badoo ukichat kidogo unakutana na sms nisaidie elf 30 au 40 kama hutajali nina shida nazo baby wangu!!
Niliwahi kukutana naye mmoja wa dizaini hii fb. Nikamwambia sinaga huduma za Mpesa. Kama vipi nije hapo ulipo nikuletee. Au nipe akaunti ya benki nikuwekee. Mara ooh basi acha mama keshanitumia. Nikajua ni matapeli tu hao...
 
hayo magumegume ya mtandaoni tumeanza kuruka nayo tokea enzi za yahoo messenger,tagged,bebo,hi5,myspace,marafiki.com,mig33,mpaka leo
 
Cku hizi wako salun za kiume, wanakushikashika mbaya , Mara masikio Mara shingo daa.. Wakimaliza sasa hata kama unajua bei lazima uulize Mara ya pili...shilingi
Ngapi kwani..........(mana siyo kutomaswa kule)
 
Siku hizi wanauza Ice Cream... ukipita tu wanakuita uonje...

Kibo complex-Tegeta
Quality Center- Tazara
Mlimani City-
Dar Free Market-
Viva Tower-
My Fair Plaza-
Shoppers-


Jamani jamani ndio maisha wanatafuta chapaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…