Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Tanganga mbona kama alikuwa kawaida tuu zaidi ya kukata umeme ila sijaona kama alikuwa na briance performance kumzidi LucasMan Of The Match.View attachment 1894239
Hii ni timu ya kupigania kucheza UEFA, hakuna timu ya kombe hapa.Dah tumeanza vizuri
Ligi yetu msimu huu
Tungoje kwanza Paratici analeta nani kabla ya dirisha kufungwaHii ni timu ya kupigania kucheza UEFA, hakuna timu ya kombe hapa.
Ligi ipi iyo wewe takataka?Dah tumeanza vizuri
Ligi yetu msimu huu
Akiba ya maneno mpwa, akiba ya maneno.Ligi ipi iyo wewe takataka?