Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hahahaa Watford sio watu wazuri kabisa poleni sana wakuu
E&K
Watarudi tu
E&K
Hivi wolves ni wabaya ehhh maana waliwatoa ulimi nje
Usiogope... ni Uhuru wa kutembelea kila jukwaaSiyo Wolves mkuu, hili ni jukwaa la Tottenham.
Usiogope... ni Uhuru wa kutembelea kila jukwaaUsiogope... ni Uhuru wa kutembelea kila jukwaa
Wolves kama counter attack ni wabaya mno huwa napenda kuona wakicheza ns timu kubwaHujanielewa, ulivyosema Wolves ni wabaya ndo hapo nikakwambia, Wolves walimnyoosha Man City (droo), hawa Tottenham wametandikwa na Watford.
Ndugu yangu tupo na game za kimataifa hii week ndio maana kimya kimetawalaHumu wenyeji wamehama.
Ndugu yangu tupo na game za kimataifa hii week ndio maana kimya kimetawala
Karibu sana ndugu yangu ila kumbukumbu bado unayo baada ya kuja hapa nyumbani.Mara ya mwisho kukuona humu ilikuwa Jumapili kabla Watford hajafanya yake, karibu sana bana.
Mimi nakuja kwako Jumamosi mchana, tukaribishane.