Tottenham Hotspurs Thread

Nyie jamaa mwaka huu timu yenu ni ya maajabu sana.

Ndugu yangu uliangalia mpira vizuri jana ilikuwa si siku yetu tu maana baada ya half time watoto tuliwakamata kabisa

Sema na uwanja siku ya jana ulikuwa wameharibu sana kutokana na mashindano ya weekend hii
 
Uwanja umeharibu kivipi?

Ile michoro?
 
GOAL! It's another! Well played by the team, how many passes was there?! 2-0 up 30'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…