Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Humu tupo 24/7 mkuu.Jamani washabiki wa hii club mbona mlishinda dhidi ya Inter na hamji humu
haya yangu machoHumu tupo 24/7 mkuu.
Kichwa kichafu ndo informer wetu nadhani kuna shughuli zimemtinga.
Kwa ushindi wa juzi sio wakuvimba sana ata kupost kwa mbwembwe tuna wasubiri Arsenal tu Jumapili.
Eriksen amekua msaada wetu mkubwa sanaNaona mnasurvive erksen 90+1
Tot 1.0 bun