AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Heshima ni kitu kidogo sana huwezi kuziita mfu Arsenal, Chelsea, Man united wakati kiliverpool hakijawahi kuonja utamu wa EPL toka 1990Mpo vizuri hongereni. Baada ya miaka 3+ naamin mtakuwa na mashabik wengi bongo hasa kutoka team mfu kama Arsenal, Chelsea na Man U
Yeap. Kisasi kishalipizwaVipi ushalipiza kisasi Kiongozi?
Mm nimekutana naoMashabiki wa Spurs Bongo? Hivi kuna mtu amewahi kutana na shabiki wa Atletico hapa Bongo?
Mm nimekutana nao
Ila wewe umezungumzia bongo (Tanzania) ambapo mimi (bila shaka na wewe) tunaishi. Mie nimekutana na mashabiki wa atketico de madridWepi? Spurs au Atletico?
It is possible kwa mtu alieishi London halafu mitaa hiyo ni ya mashabiki wa Spurs au mtu aliewahi ishi Madrid halafu mitaa hiyo ni ya mashabiki wa Atletico Madrid
Ila wewe umezungumzia bongo (Tanzania) ambapo mimi (bila shaka na wewe) tunaishi. Mie nimekutana na mashabiki wa atketico de madrid