Kwa nini mkuu, ile game ya kwanza hawa watoto niliona wanaachia sana matundu, nikajua kama Son akiwepo watatoboka.
Son leo kacheza anao anao mwingi, ila Moura kafanya yake.
Mkuu hawa jamaa vuka zao kwa City na Ajax zinaniambia kuna kitu special wanaelekea ku-achieve.
- klopp effect
- msimu huu mumeshinda mechi zote mbili dhidi ya tottenham (2-1) na hiyo ndio khofu yangu, kabla ya mechi ya spurs dhidi ya man city tayari halmashauri yangu ya imani potofu ilikwishanipa majibu ya kitakochotokezea kwa man city
- spurs wamekuwa wakibebwa na bahati mechi hizi za mwisho za UEFA
- Kila la kheri fainali
UCHAMBUZI HEWASpurs ndo bye tena
Umechambua kisoka zaidi, safi sana.Mkuu hawa jamaa vuka zao kwa City na Ajax zinaniambia kuna kitu special wanaelekea ku-achieve.
Ingawa sisi pia itakuwa ni ajabu kuingia fainali mbili tunapoteza, na haitakuwa poa kupoteza kwa watu ambao namba yao tunayo.
Wasiwasi wangu pia ni tabia ya UEFA kutofata ligi, mfano ni Spurs kwa City, Liver kwa City, Atlet kwa R Madrid, Atlet kwa Barca, Liver vs Chelsea 2005 nk, matokeo ya ligi yanakuwa tofauti na UEFA.
Ulichokiona nakiona kwa karibu sana ila najivika upofu wa kishabiki, naona kama hatustahili kufanyiwa hivyo.
Klopp ataondoa mkosi wake pia.
Umechambua kisoka zaidi, safi sana.
..........duh, e bana eee mmevuka?
Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.
Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England inayopatikana Tottenham,Haringey,London ambayo inashiriki Premier League.
Wembley Stadium ndio uwanja wa nyumbani kwa Spurs msimu (2017-2018) wenye uwezo wa kuchukua watu 90,000, wakati uwanja wake wa nyumbani ukiwa kwenye matengenezo(White Hart Lane).
Kuzaliwa: 5 September 1882 (Hotspurs F.C)
Major honours
DomesticLeague competitions
Premier league: 2nd position(2016-2017)
First Division/Level 1:
Winners (2): 1950–51, 1960–61
Second Division/Level 2:
Winners (2): 1919–20, 1949–50
Cup competitions
FA Cup: Winners (8):
1900–01, 1920–21, 1960–61, 1961–62, 1966–67, 1980–81, 1981–82, 1990–91
League Cup: Winners (4):
1970–71, 1972–73, 1998–99, 2007–08
FA Charity Shield/FA Community Shield: Winners (7):
1921, 1951, 1961, 1962, 1967*, 1981*, 1991* (*shared)
European
UEFA Cup Winners' Cup: Winners (1):
1962–63
UEFA Cup/UEFA Europa League: Winners (2):
1971–72, 1983–84
Other honours/friendlies
Historical competitions
Southern League:[120]
Winners (1): 1899–1900
Western League:[120]
Winners (1): 1903–04
London League Premier Division Champions:
Winners (1): 1902–03
Football League South 'C' Division Champions:
Winners (1): 1939–40
Southern District Charity Cup: Winners (3):
1901–02, 1904–05, 1906–07
Sheriff of London Charity Shield: Winners (2):
1901–02, 1933–34
London Challenge Cup: Winners (8):
1910–11, 1928–29, 1936–37, 1947–48, 1958–59, 1963–64, 1970–71, 1973–74
Friendly tournaments
Anglo-Italian League Cup:[129]
Winners (1): 1971
Costa Del Sol Tournament:
Winners (2): 1965, 1966
Nolia Cup: Winners (1): 1977
Kirin Cup: Winners (1): 1979
Sun International Challenge Trophy: Winners (1): 1983
Peace Cup: Winners (1): 2005
Vodacom Challenge: Winners (2): 2007, 2011
Feyenoord Jubileum Tournament: Winners (1): 2008
Barclays Asia Trophy: Winners (1): 2009
AIA Cup: Winners (1): 2015
Spurs Motto: To Dare is to Do
Tottenham are very interested in bringing Ryan Sessegnon to Spurs this summer, with the player wanting the move to Pochettino’s side. Fulham have to sell him in the next few weeks as he will leave on a free next summer. The 18 year old is priced at around £25M. Spurs are yet to make an offer yet, but it is likely they will do after the Champions League final.
_____________
Source: (David Ornstein BBC)View attachment 1099422
Bwana mkubwa,
Pochettino kweli atabaki msimu ujao..?
Levy na Ed Ni moja ya vichaa walio katika soka.Kiongozi Pochettino Kwa Alichokifanya Hadi Sasa Ni Kikubwa Na Tutaendelea Kumkumbuka Miaka Yote.
Hakuna Uhakika Sana Ila Naamini Ndoto Yake Ya Kwanza Ameitimiza.
Wakati Anafika Alitaka Kuhakikisha Timu Inashiriki UEFA Ili Aweze Ku-Keep Best Player Na Kufanya Mchezaji Yoyote Kama Akimuitaji Kwenye Club Kuwe Na Urahisi.
Kwa Misimu Yote Hii Ya Hivi Karibuni Poch Alitaka Kubadiri Mfumo Wa Club Kiundeshaji(Usajili na Kila Kitu) Ila Boss Levy Alikuwa Mgumu Japo Alikuwa Na Sababu Ya Msingi Ya Maboresho Ya Uwanja.
Pamoja Na Tetesi Nyingi Poch Bado Yupo Kimya Ila Tatizo Ilikuwa Ni Kiuchumi.
Hata Hivyo Karudia Tena Hivi Karibu Kauli Yake Ya Club Inatakiwa Kubadiri Jinsi Ya Uendeshaji Wake La Sivyo Poch Tunaweza Mkosa Msimu Ujao.
Ila Lolote Laweza Tokea Kama Juzi Juzi Hapa Alitoa Kauli Juu Ya Uamuzi Wa Eriksen Alitamani Aendelee Kuwa Nae Maana Toka Mwaka Jana Mkataba Wa Eriksen Ulikuwa Unaenda Kikomo