Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Huyu dogo anajua saàna🙌🙌🙌🙌
Hivi Bale ana faida gani hapo spurs?
Mr nimeona umuhimu wake..Nilichokua namanisha ni kua aingie...what a header!!!Ni backup maana kulikuwa na natural striker mmoja tu Kane. Na akiumia ndio hamna mbadala japo Bale kwenye upande wa injury hajambo.
Ndio maana kuna dogo hapo toka Benfica Vinicius ameongezwa pia.