Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ikumbukwe pia kwamba arsenal haijawahi kugusa top 2 tangu 2005 .
Noma sana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika ngoma ya watoto haikeshi .
Ni kweli, ila hakukuwa na namna nyingine kama Spurs kawa wa tatu, arsenal lazima awe juu, spurs akiwa wa pili itabidi arsenal awe wa kwanza! Ni mwiko kumaliza juu ya arsenal kizazi hiki.Ikumbukwe pia kwamba arsenal haijawahi kugusa top 2 tangu 2005 .
Mlikuwa mnasaka ubingwa wa england au mlikuwa na ligi na Tottenham hotspurs???Mimi ni Arsenal damu, ila niko kwenye mgomo kuingia uzi wa Arsenal na kuchangia mpaka Wenger aondoke, hivyo bado niko na msimamo wangu kuwa WENGER OUT, ndo arsenal itarudi ktk ubora wake!
ILA LICHA YA HIVYO, NIMEWAHI SEMA MARA KADHAA KTK UZI WA ARSENAL KUWA TOTTENHAM HOTSPURS BADO HAITOWEZA KUMALIZA JUU YA ARSENAL LICHA YA WENGER KUWAPO, hawawezi maliza juu ya Arsenal, ni TUSI kwa Spurs kumaliza mbele ya Arsenal. Kama Spurs ikimaloza ya tatu, ujue arsenal iko juu, kama Spurs ikimaliza ya pili, basi HAMNA JINSI, arsenal atakuwa bingwa, haijalishi arsenal wako wabovu kiasi gani.
Wewe unaonaje??Mlikuwa mnasaka ubingwa wa england au mlikuwa na ligi na Tottenham hotspurs???
Mimi mgeni huku.Wewe unaonaje??