Tottenham; mbona mtafurahi na roho zenu..

[emoji1] [emoji16] [emoji16] mzee wa kubwatuka
 
Bila Mourinho Ligi hainogi bhana , mpira ni amsha amsha , makocha wengine hawana amsha amsha kabisa , wamekaa tu kama makondoo, ligi Inakuwa imepooa, na pia inakuwa ligi ya kichoko kweli, japo jamaa hajui mpira Ila namkubali saaana , ana create tension na kumtia adui hasira , game inakuwa hot Sana, aliichangamsha akili ya Ferguson, akaenda akawazindua Italy alaf akawaamsha Spain , uwepo wake kwenye ligi ni mhimu , vituo vya television vinampenda Sana , ukitafuta wacheza gambling wakubwa Duniani basi huyo jamaa anaongoza, fundi wa kuotea na majigambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…