Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Kuanzia saa nane unusu nitamimina yanayoendelea moja kwa moja kutoka WHITE LANE kati ya TOTTENHAM v. BOURNEMOUTH
 
Kwa Bournemouth ni kukwepa kushuka daraja na ushindi ni muhimu sana
 
Kwenye patapotea kheri nusu Shari kuliko shari kamili. Hivyo chungulia chunguni kuna nini jaziliza na za kwako khalafu changamkia nafasi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…