shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Labda kama wanacheza na liver sio tottnhamSwafi sana. Mimi leo ni vyema nitangaze masilahi yangu ya kuwa ninawafyagilia sana Bournemouth washinde
mechi nzuri, inter walianza kama wamepoa naona taratibu wanarudi mchezoniItalia Inter na A.C Milan mpira umeanza nao ni bila kwa bila
Bournemouth siyo wabaya hata sare inawatoshaKwa moto wa Spurs sidhani kama Bourne atatoka hapo white hartlane.
Teh! Teh! Teh! Kiwango cha Bournemouth siyo kibayaLabda kama wanacheza na liver sio tottnham
Ila mpira wa Italia unavyochezwa sijui sijauzoea yaani hauna mvuto kabisamechi nzuri, inter walianza kama wamepoa naona taratibu wanarudi mchezoni
mbona mechi nzuri mkuu, ac millan wanacheza vzr makosa madogo madogo ndio yamewagharimuIla mpira wa Italia unavyochezwa sijui sijauzoea yaani hauna mvuto kabisa