Tottenham v. Bournemouth (LIVE UPDATES!)

Mashabiki wa Spurs wanawapa sapoti kubwa wachezaji wao
 
Hahahaha kama nawaona mashabiki wa chelsea ....mpira hautabiriki....mlikua mkiongoza kwa point zaid ya 10+ saivi zimefyekwa hadi zimebakia 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kesho man u wanawazaba tu
 
Hili kombe linainukia Spurs nionavyo hiki kiwango siyo utani. Yaani kipindi cha pili wangeweza kufunga hata sita leo
 
Ivi FA tunacheza nao hawa spurs? Aisee ni shida Chelsea Sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…