Tottenham v. Everton - March 05, 2017

Spurs wanashambulia huku Everton ni kulinda goli na kufanya mashambulizi ya kushtukiza
 
Spurs hii game wasipokuwa waangalifu inakula kwao
 
Timu zote zinalinda kwa idadi kwa hiyo atakayefungwa imekula kwake
 
Hawa Everton walimsindikiza Kane na hata alipopiga shuti hana kizuizi
 
Spurs ni wazuri na siku hizi za karibuni wanacheza kwa confidence ya hali ya juu, lazima wataibuka kidedea kama Everton hawatajizatiti.

Spurs hii game wasipokuwa waangalifu inakula kwao
 
Kama nilivyodokeza awali ulinzi kwa pande zote ni uwingi siyo ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…