Tottenham v. Everton - March 05, 2017

Everton wanachezewa nusu uwanja yaani hawafurukuti
 
Moja bila inamaanisha Everton bado wako kwenye hili gemu
 
Ilikuwa auguse tu mpira utumbukie kimiani akaghairi
 
Hawa Everton wazito sana hata kuukimbilia mpira
 
Naona umegeuka Mtangazaji, sasa, uko uwanjani au kwa Tv?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule kamanda anayepima watumiaji wa mihadarati aje hapa ampime huyu mkuu
 
Kipindi cha pili kinaendelea ni dakika ya 51 bado Spurs kifua mbele kwa bao moja kwa bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…