Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 7, 2015 #1 Wazee was bet wekeni mzigo arsenal nawahakikishia mtakuja nikumbuka!!kila LA kheri wote
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 7, 2015 #2 Mimi sio mpenzi wa Arsenal lakini naona hiyo ni mechi nyepesi sana kwao pamoja na upinzani walionao dhidi ya Spurs....
Mimi sio mpenzi wa Arsenal lakini naona hiyo ni mechi nyepesi sana kwao pamoja na upinzani walionao dhidi ya Spurs....
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Feb 7, 2015 #3 FT. Tottenham 2 Arsenal 1
S slimhamimu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 326 Reaction score 113 Feb 7, 2015 #4 Tottenham kwa Arsenal ni kama mbwa kwa chatu, lazima tottenham akae tu
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 7, 2015 #5 North London Derby...Droo inahusika zaidi hapo..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 7, 2015 #6 Hadi sasa Spurs kashachezea kimoja
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 7, 2015 #7 jogi said: FT. Tottenham 2 Arsenal 1 Click to expand... Kama utakuwa ulibet basi ushalamba mpunga sasa...
jogi said: FT. Tottenham 2 Arsenal 1 Click to expand... Kama utakuwa ulibet basi ushalamba mpunga sasa...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Feb 7, 2015 #8 Arsenal kafa 2-1....