bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Kama Liverpool atacheza kwa kasi ile ya Barcelona basi Liverpool ni Bingwa.Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Hao wazuri walikuwa wapi kuingia fainali?Faniali ya vilaza , fainali mbovu kabisa ya UCL kuwahi kutokea
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Liverpool will win. Mark this comment
Kama Liverpool atacheza kwa kasi ile ya Barcelona basi Liverpool ni Bingwa.
Liverpool will win. Mark this comment
Faniali ya vilaza , fainali mbovu kabisa ya UCL kuwahi kutokea
Naona Tottenham akishinda 2-1 dhidi ya Liverpool.
Kwanini iwe mapema?Bado mapema
Faniali ya vilaza , fainali mbovu kabisa ya UCL kuwahi kutokea
Kwanini iwe mapema?
Kitokee kwa sababu ipi?Mapema kutabiri coz chochote kinaweza kutokea